Tricod Global ni platform ya maarifa ya kiroho, fahamu za juu (higher consciousness), na ukweli wa ndani wa binadamu ambao mara nyingi haufundishwi kwenye mifumo ya kawaida ya elimu au dini.
Tunachunguza mada kama:
• Elimu ya kiroho ya ndani (inner spiritual knowledge)
• Consciousness & human potential
• Hidden history & deep knowledge
• Reality, mind power & spiritual science
Kama unatafuta maarifa yanayokwenda beyond kawaida — Karibu Tricod Global.
(Knowledge For The New Human Era.)