Login Register
G
AL-FIRDAUS CHARITABLE FOUNDATION

AL-FIRDAUS CHARITABLE FOUNDATION

@UC4Nc_WOgdHuY0PVZSAEYXLg - 475 subscribers

AL-Firdaus Charitable Foundation - CHANGIA KWA MANUFAA YA JAMII Karibu Alfirdaus Charitable Foundation! Tunakusanya na kutoa misaada kwa wale wenye uhitaji. Jiunge nasi kwa habari za miradi yetu, mahojiano na viongozi wa jamii, na jinsi unavyoweza kusaidia. pamoja tunaweza kuleta mabadiliko makubwa Usisahau kusubscribe ili tuendelee kuchangia kwa manufaa ya jamii!