Login Register
G
WEKAPU ONLINE TV banner
WEKAPU ONLINE TV

WEKAPU ONLINE TV

@UC6DA6wFycKcbdnGn3k3iDwg - 2.9K subscribers

Wekapu TV ni online channel inayolenga kuelimisha, kuhamasisha na kuburudisha jamii kupitia vipindi mbalimbali vya dini, filamu za maudhui ya kiroho, mafundisho, ushuhuda na ujumbe unaojenga maadili ya jamii. Kupitia Wekapu TV, tunaleta ujumbe wa imani, matumaini na mabadiliko chanya, tukitumia sanaa na vyombo vya habari kufikisha Neno kwa kizazi cha sasa na kijacho.