Live Vision Media ni jukwaa la vyombo vya habari la Kikristo linalojikita katika kusambaza Injili ya Yesu Kristo kupitia maudhui yenye nguvu na yenye kuhamasisha.
Tunatengeneza na kushiriki vipindi vya Kikristo ikiwemo mahubiri, mahojiano, shuhuda, maudhui ya injili, na simulizi zinazobadilisha maisha — yote yakilenga kuinua, kuelimisha, na kuimarisha imani yako.
Dhamira yetu ni kutumia media kama chombo cha kuleta mabadiliko katika maisha ya watu, kusambaza ukweli, na kuwakaribisha watu zaidi karibu na Mungu.
📖 “Enendeni ulimwenguni mwote mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.”
Jiunge nasi kwa kusubscribe na uwe sehemu ya maono yanayoleta nuru duniani. ✝️✨