Login Register
G
Mulas Digital TV banner
Mulas Digital TV

Mulas Digital TV

@UC9RoshpL4WP4KKKiiIxeCAA - 43.4K subscribers

Karibu kwenye channel yetu! Hapa utapata habari za kimataifa, matukio ya breaking news, uchambuzi wa kina wa michezo, pamoja na maudhui ya Kiislamu yenye kuelimisha na kuhamasisha jamii. Tunakuletea taarifa sahihi, kwa wakati, na kwa mtazamo mpana , kuanzia siasa za dunia, matukio makubwa yanayoendelea, hadi burudani na michezo kutoka ligi mbalimbali duniani. 📌 Breaking News – Habari moto moto zinapotokea ⚽ Michezo – Matokeo, uchambuzi na taarifa za wachezaji 🌍 Kimataifa – Matukio muhimu duniani kote 🕌 Maudhui ya Kiislamu – Elimu, nasaha na mafunzo ya dini Lengo letu ni kukupa habari zilizo za kweli, zenye maadili na zenye manufaa kwa jamii. 👉 Subscribe sasa, washa kengele 🔔 na uwe wa kwanza kupata habari kila zinapotoka!