@UCAHs8Yf1adhCr7mAJMLeMaQ - 44 subscribers
FIGHTERS BAND Ni kikundi Cha uimbaji wa nyimbo za injili,kikundi hiki kinapatikana nchini TANZANIA jijini dar essalam,tupo tayali kumtangaza kRISTO duniani kote hata ajapo.Karibu tumtmikie kRISTO pamoja Asante Sana na MUNGU akubariki sana ameen.