Login Register
G
DW Kiswahili banner
DW Kiswahili

DW Kiswahili

@UCA_Fjr6R2D8BCPENte67Paw - 306K subscribers

Deutsche Welle ni Shirika la Kimataifa la Utangazaji la Ujerumani, linaloandaa vipindi vya Televisheni, Radio na Mtandao wa Intaneti kwa ajili yako katika lugha 30 - popote ulipo ulimwenguni. Tafadhali tusaidie kuyafanya majadiliano katika kituo hiki kuwa safi na ya kukubalika na jiepushe kutumia lugha ya kibaguzi au uchafu pamoja na matusi ya kibinafsi. Kwa taarifa zaidi tafadhali bonyeza link ya "DW Netiquette" hapo chini. Tunakusihi ushiriki katika utafiti wetu wa mtandaoni ili tupate maoni yako. Bonyeza kiunganishi kwa maelekezo zaidi: surveys.dw.com/c/vcemmsxp www.dw.com/en/dws-netiquette-policy/a-5300954