Aict Dodoma Choir zamani ikijulikana kama AICT Dodoma Vijana Choir (DVC) ni kwaya ya kanisa la AIC(T) Pastoreti ya Ipagala-Dodoma Mjini, Tunapenda kumtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji Kanisani na maeneo mengine katika kuipeleka injili ya Yesu Kristo, ikiwa ni pamoja na mikutano ya Injili, Semina za Neno la Mungu, Makongamano na Kusaidia maskini na wenye uhitaji.
Uwapo Jijini Dodoma karibu sana katika kanisa la AIC(T) IPAGALA ujumuike nasi katika ibada.
Tupo tayari kusafiri kwenda popote kwa ajili ya kueneza Injili ya Kristo Yesu aliye Bwana na Mkombozi wa Maisha yetu.
Wasiliana nasi kupitia Namba zifuatazo:-
+255 784 665 520
+255 752 547 458