Login Register
G
Luhobe Fashion banner
Luhobe Fashion

Luhobe Fashion

@UCLLZ4eFMZTZmcnjpk47d4mw - 66.3K subscribers

LUHOBE FASHION, Ni channel ambayo inatoa video mbalimbali za MISHONO YA MAGAUNI YA VITENGE, MAGAUNI YA VITAMBAA, MAGUBERI na MADELA. Pia NGUO za KIUME kama Mishono ya kisasa ya KAUNDA SUTI, MISHONO YA SUTI ZA KISASA Na aina mbalimbali ya nguo za kiume. Pia tunatoa Video za mafunzo ya kusuka mitindo mbalimbali ya nywele na Video za Mafunzo ya kupamba Ukumbi na Kanisani. Tuna wakaribisha wateja wote ambao wanahitaji kufanya matangazo ya biashara zao kwenye channel yetu. Tunafanya matangazo kwa bei nafuu sana. Email: [email protected]