Mizani online TV ni kituo kinachokusudiwa kurusha habari zinazohusiana na Dini ya kiislamu na baadhi ya matukio na habari za kijamii. Tunakualika U-SUBSCRIBE CHANNEL hii ili tuendelee kutekeleza kwa pamoja wajibu wa kupashana habari na mawaidha ya Dini.