Karibuni Kwa Shaddaplanta – Peace, Love na Culture.
Huku siyo tu channel, ni lifestyle. Tunazungumzia mambo ya ukweli, sanaa ya mtaani, na kukuza utamaduni wetu kwa njia ya kipekee. Shaddaplanta brings you the rawest vibes from the 254.
Tunajua rada, tunajua mziki, na tunajua sanaa. Kama unatafuta mahali kwenye ukweli unatawala na culture inapewa heshima yake, ushagika.
Subscribe uwe sehemu ya movement. Peace, Love na Culture pekee.