Karibu Sports Bando
Channel hii inakupa habari za michezo, mada mbalimbali za michezo, uchambuzi na mahojiano ya kimichezo. Pia inaendeshwa kwa kufuata weledi mkubwa, misingi sahihi ya habari na yenye kulenga malengo yaliyokusudiwa kwa ajili ya wewe kupata habari za kimichezo.
🚫 Kumbuka: Maoni yenye lugha chafu yataondolewa ili kuenenda na maadili na asili yetu ya Tanzania na Afrika kwa ujumla.
Kwa Maoni na Ushauri
📞+255682579896
📞+255759948451
KAULI MBIU: Tunakupa kile usichokijua kuhusu soka.