Login Register
G
Ng'hangaFX Music Lab. banner
Ng'hangaFX Music Lab.

Ng'hangaFX Music Lab.

@UCRA9O1wurQ2LBubAnLf4eTw - 4K subscribers

Karibu kwenye Ng’hangaFx Official 🎧 Hapa ndipo unapopata midundo halisi ya Kisukuma – beat za asili, nyimbo za kitamaduni, na vibes zenye nguvu kutoka Sukuma Land 🇹🇿 🎼 Mimi ni Ng’hangaFx – producer anayebobea katika kutengeneza: ✔️ Beats za Kisukuma & Bongo Traditional ✔️ Nyimbo za sifa na harusi ✔️ Vibes za FL Studio 20 (Made in Tanzania) 💽 Tazama video zangu kuhusu: 🎹 Jinsi ya kutengeneza beat 🎧 Nyimbo mpya na original 🛠️ Tips kwa watayarishaji wapya 📩 Wasiliana na mimi kwa collabo au kutengeneza beat: 📱 WhatsApp: +255 629 256 357 📷 Instagram: @nghangafx 🎬 Tazama kazi zangu zote hapa YouTube kila wiki! 🔔 **Usisahau ku-subscribe kwa midundo ya asili moja kwa moja kutoka kwa Mwanaswagga wa Kisukuma – Ng’hangaFx!**