Naitwa SCOLA KAYANDA ni mwimbaji wa nyimbo za injili Tanzania.
Nimeanza huduma hii ya uimbaji toka mwaka 2013,namshukuru Mungu mpaka sasa nimekamilisha album ya audio na tayari nimeshafanya video inayoitwa SITANYAMAZA.
..Nipo tayari kufanya huduma sehemu yeyote ile kwaajili ya utukufu wa BWANA.
WASILIANA NAMI KWA SIMU +255 713 826 509 | +255 767 405 697
Mungu akubariki sana na Asante kwa kuwa sehemu ya huduma yangu.