🪐 VOICE OF NZEGA TV: ni chaneli ya burudani ambayo inafanya movie recap kwa lugha ya kiswahili ili kukupa uelewa zaidi kuhusu movie ndani ya dakika chache tuzisizo zidi dakika kumi na tanoambazo zinawekwa sauti na msanii wa sauti Mr VOICES
🪐 subscribe halafu bonyeza alama ya kengere ili uwe unapatwa taarifa pindi tu video mpya inapopandishwa.
🪐Uwepo wako kwetu ni furaha na nguvu ya kusonga mbele, unaweza mshirikisha ndugu, jamaa au rafiki kuhusu chaneli hii na burudani kubwa tunayoandaa kwaajili yako.
🪐 VOICE OF NZEGA "a reason to smile"