karibu sisi ni video production tunashughulika na kutengeneza video za aina mbali mbali km vile harusi, matangazo na kadhalika tupo Dar es salaam Tanzania namba zetu ni +255774125603 na email yetu ni [email protected] na Instagram yetu ni @Othman_Kondo_Art.
Karibuni sana kwa huduma bora na bei nafuu.