Login Register
G
Bongo Simulizi banner
Bongo Simulizi

Bongo Simulizi

@UCZ7OljbO_PR-wcSH2dtbqww - 212K subscribers

**🎥 Karibu " Bongo simulizi "** Tunatokea kwenye ulimwengu wa kusisimua wa **hadithi , visa vya kutisha na maajabu ya roho na mizimu kutoka Afrika Mashariki na kote duniani. Hapa utakutana na: - **🔮 Simulizi za kweli za kichawi na uchawi wa kienyeji.** - **👻 Uchunguzi wa maeneo yenye mizimu (haunted places) Tanzania, Kenya, na Zanzibar.** - **🌙 Hadithi za usiku wa manane zilizosimuliwa kwa kusisimua.** - **💀 Visa vya kifo, matukio ya kipepo, na maisha ya kuvutia yaliyofichwa kwa miaka.** **🔔 *"SUBSCRIBE"* sasa na *"BONYEZA KENGELE"* kusubiri video mpya za kila wiki!** Penda, shiriki, na tuachanie maoni: Je, wewe umewahi kukutana na mizimu? #bongosimulizi #bongo #simulizizakusisimua #SimuliziZaKutisha #SwahiliHorrorStories