EdVent TV ni channel inayoendeshwa na Edwin Muchina ama CHIFU, mwanahabari kutokea Kenya, Afrika Mashariki.
Muchina anaamini kwamba mazuri yaliyo duniani yamepitiliza maovu yaliyomo. Chifu pia ana imani kwamba kila kitu kinawezekana duniani.Cha mno ni kujipa muda.Kila kitu kwa wakati wake. Yeye hupenda kuripoti matukio yanayotokea pembe yoyote ile, iwe ni Kenya ,Afrika ama kokote Duniani.