SHALOM SHALOM....!
Naitwa Muhinja Bunyinyiga ( Mb Cool ) Ni Muimbaji wa nyimbo za injili ( Gospel ) Mwenye ulemavu wa miguu. Karibu Katika channel yangu ya YouTube ambayo nitakuwa nawaletea nyimbo nzuri za injili/Gospel ili tupate kubarikiwa kwa kuisambaza injili kupitia Karama ya muziki. Ubarikiwe na Karibu Sana.
Kwa Mawasiliano, ushauri na Kuunga mkono wasiliana nami kupitia Whatsapp namba : +255672443195
Facebook :
www.facebook.com/profile.php?id=100087006725677
Usisahau kusubscribe, Kulike na Kushare ili kuweza kuisapoti Channel Hii.