Login Register
G
Umela Media banner
Umela Media

Umela Media

@UCh7TklnIlPnaCSPE77jpHAQ - 15.5K subscribers

SUBSCRIBE, Online TV Karibu sana mdau wa Umela Media popote pale ulipo ulimwenguni, tunathamini sana uwepo wako kwetu kama Chombo cha Habari. Pata habari za uhakika kila siku kutoka kwa Mastaa, Michezo, Uchumi na Siasa ndani ya saa 24 siku 7 za wiki. Miiko ya uandishi wa Habari inazingatiwa kuhakikisha unapata Habari za ukweli na uhakika zilizochambuliwa kwa undani. Bonyeza neno SUBSCRIBE ili uwe wa kwanza kupata Habari zetu kila zinapowekwa. Akhsante na tunakuthamini sana. #TrustTheProcess Contact us, Email: [email protected]