It's Me Again Jesus ni huduma inayolenga kumwabudu Mungu kwa njia ya uimbaji. Huduma hii ina dhamira ya kufikisha injili ya Yesu Kristo kwa watu wote na kuleta mabadiliko ya kiroho na Maisha ya watu kwa ujumla. Tunajivunia kuwa sauti ya wokovu na matumaini kwa wale wanaotafuta ukombozi kupitia Imani yake Yesu kristo.