Karibu kwenye ukurasa rasmi wa The Blessed Voices Choir 'BVC'.
Hii ni kwaya kutoka parokia ya Holy Eucharist Catholic Church Kingeero Nairobi Kenya.
Hii choir hushiriki kwenye misa ya pili ambayo huanza saa tatu asubuhi hadi saa nne unusu kila jumapili.
Karibu utazame nyimbo zetu, tunatumai utabarikiwa
Wasiliana nasi kupitia Choir moderator - Crispin +254711780405