Login Register
G
KANISA TVπŸ™πŸ’’, UTUME POPOTE ULIPO  banner
KANISA TVπŸ™πŸ’’, UTUME POPOTE ULIPO

KANISA TVπŸ™πŸ’’, UTUME POPOTE ULIPO

@UCkuoLkYf4L3JJ3CpbiObgmw - 4.4K subscribers

Channel ya Kanisa TV ni Chanel ya Kanisa Katoliki Mahususi la kupeana taarifa mbalimbali za Kanisa Katoliki , zinazo tokea Jimbo kuu la Dar es salaam na Majimbo mengine ya jirani na ya nje ya nchi Karibuni sana tuinjilishe kwa pamoja na slogani yetu ni, Chanel Online your tube, KANISA TV, Utume popote ulipo, Kama una Matukio Maadhimisho mbalimbali ya Sherehe za Kanisa yaani, Parokia, Jumuiya, Kanda, Ndoa na Misa za Shukrani, naombeni tuwasiliane ili nije kufanya coverage Utaniwezesha ili kuniunga mkono katika unjilishaji, Raha ya Utume KushirikishanaπŸ™πŸ’’ endelea Kufuatilia, kusapoti na kuiwezesha iweze kutangaza zaidi Neno la Mungu kwa njia hii ya Kiteknorojia Tafadhari Subscribe, Like, Comment na Ku share kwa Watu wengine waweza kutupata kupitia mitandao ya Dominic .L. Haule 0657793511 Ukihitaji Tukuhudumia huduma nitafute kupitia namba 0756379340 au 0657793511, [email protected] MT. DOMINIKO...UTUOMBEEE ndie Msimamizi wa channel hii πŸ™πŸΏ