Hii ni Easy English tz tunaweka video mpya kila JUMAMOSI saa 06:00Am Asubuhi. kila jumamosi Teacher Hassan anajaribu kuongelea topic moja ambayo inasumbua watu kwenye kiingereza.
karibu ujifunze nami kiingereza, unaweza kutufollow pia instagram kama Easy.English.tz, Pia madarasa yetu yapo Dar-es-salaam. karibu sana.