Login Register
G
2Shane Tv banner
2Shane Tv

2Shane Tv

@UCmjkUDFA0rI5Exfed9-QXEQ - 8.8K subscribers

Karibu kwenye Shane TV — mahali pa historia za Kikristo, simulizi za Biblia, na matukio yaliyobadilisha ulimwengu kuletwa kwa mtindo wa cinematic na wenye kugusa moyo. Hapa utapata: • Historia ya Kanisa la mwanzo • Simulizi za wafalme, himaya na vita vya kale • Mafundisho ya Biblia na ukweli wa kihistoria • Documentary za Kikristo zenye simulizi ya kuvutia • Video za imani, unabii na safari ya Ukristo katika historia Lengo letu ni kufunua kweli zilizofichika katika historia na kuwasilisha ujumbe wa kiroho kwa njia ya ubunifu na ubora wa kisasa. Jiunge nasi katika safari hii ya kugundua historia, imani, na matukio yaliyounda dunia tunayoijua leo. Subscribe sasa ili usikose video mpya kila wiki. Kama huduma hii imekuwa baraka kwako na ungependa kuisupport ili tuendelee kutengeneza maudhui bora zaidi, unaweza kutoa sadaka yako kupitia HaloPesa: 📌 0626630162 Mungu akubariki sana kwa support yako. #HistoriaYaKikristo #ChristianDocumentary #ShaneTV #HistoriaYaBiblia #KanisaLaMwanzo