KARIBU SANA MASANJA MEDIA
MASANJA digital ni Televisheni ya mtandaoni ( online television ) ambapo makao makuu yake yapo BAHARI BEACH - DAR ES SALAAM ( TANZANIA ).
Televisheni hii ya mtandaoni imeanzishwa na inasimamiwa na Mkurugenzi na Mwanzilishi wa chombo hiki Cha habari ambaye ni ndugu JAMES MASANJA NKINDA ambaye ni mtaalamu ya habari za michezo pia ni mhitimu wa chuo kikuu Cha DAR ES SALAAM na kupata shahada ya awali kwenye masuala ya Elimu ya viungo na Sayansi ya michezo ( physical education and sports science ).
Lengo la kuanzishwa kwa chombo hiki Cha habari no kuwapasha habari mbalimbali walaji kote duniani huku ikijikita zaidi katika habari za BURUDANI, MICHEZO , SIASA NA HABARI NYINGINEZO.
Televisheni hii ya mtandaoni inaendeshwa kwa matakwa ya serikali kupitia Mamlaka ya mawasiliano Tanzania ( Tanzania communication Regulation Authority TCRA ) , Hivyo walaji wa habari ambao watatumia lugha chafu wataondolewa.
Piga +255 655 589 378
WhatsApp +255 655 589 378
AHSANTE.