Login Register
G
Madrasatulfurqani Tv banner
Madrasatulfurqani Tv

Madrasatulfurqani Tv

@UCoVd8IhlU_8JbTkthiEc33w - 43.5K subscribers

Madrasatulfurqani ni channel ya Kiislamu inayolenga kufundisha, kuelimisha na kuusia Ummah wa Kiislamu kwa mujibu wa Qurani Tukufu na Sunnah sahihi za Mtume Muhammad ﷺ. Kupitia mawaidha, darsa za aqeeda, tafsiri, historia ya Mitume, majibu ya maswali ya dini, na hoja za kielimu, channel hii inalenga kuimarisha imani, kuongeza elimu ya dini, na kuhuisha maadili mema katika jamii. 👉 Jiunge nasi kwa maarifa sahihi ya Uislamu, nasaha zenye hekima, na kumbusho lenye manufaa kwa maisha ya dunia na Akhera. 📌 Usisahau Subscribe, Like na Share ili kheri iwafikie wengine.