Keep on worship,
TUCASA UOI CHOIR, Ni kwa ajili ya utume na uinjilisti, Endelea kuwa nasi kwa Nyimbo mbalimbali zinakujia kutoka kwetu nasi tumaini letu ni kukufikishia ujumbe mzuri wa injili kama alisema na enendeni duniani mkawafanye wanafunzi.
kumbuka ku-sucribe, share na ku-comments kwenye social media platform zetu