🔥 Buseboi - Your Daily Dose of Vibes & Vibes Only 🔥
Mimi ni kijana wa mtaani napenda kuchekesha, kuongea na watu, na kukupa content safi kila siku.
Hapa ni nyumbani pa watu wenye energy, heshima na matusi ya kirafiki 😂
LIVE kila siku 8PM - 12AM | Tunapiga story, tunacheka, tunashinda
👇 Nipate pia hapa 👇
📱 TikTok: @buseboi
💜 Twitch: buseboi
Gameplay: PUBG Mobile, CODM + Game nyingine zikija
Biz/Collab: DM IG