Karibu Shera Studio – kituo rasmi cha muziki wa asili unaogusa roho, hasa kwa lugha ya Kisukuma! Tunaleta nyimbo tamu zenye mafunzo, vichekesho vya kijijini, maisha ya kila siku na urithi wa Kitanzania kwa njia ya muziki na video halisi.
📌 Tunatengeneza:
Nyimbo za asili Kisukuma (Traditional Sukuma Music)
Video halisi za kitamaduni
Simulizi za maisha na jamii
Muziki wa burudani na mafunzo
🎤 Tunahakikisha kila kazi ina ladha ya utamaduni, sauti safi na ujumbe mzito unaobeba historia ya watu wetu.
---
📞 Wasiliana nasi kwa kazi yoyote ya muziki au video:
WhatsApp / Simu: 0692 928 307
🟢 Subscribe sasa na uwe sehemu ya harakati za kuenzi muziki wa asili!