Azania Front Tv ni chaneli iliyo chini ya uongozi wa KKKT - DMP KANISA KUU AZANIA FRONT lililopo Posta Jijini Dar es Salaam.
lengo kuu lakufunguliwa kwa chaneli hii ni kufikisha ujumbe wa neno la Mungu kwa njia ya mtandao kupitia mafundisho mbalimbali yanayofundishwa na Watumishi wa Mungu katika Ibada zetu hapa kanisani.
Marko 16: 15 imeandikwa:
" Akawaambia, Nendeni ulimwenguni kote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. "
👉 Karibu uwe sehemu ya wale wanaobarikiwa na mahubiri yanafundishwa kila siku za wiki
👉 RATIBA ZETU ZA IBADA;
[ JUMATATU - IJUMAA ]
1. Morning Glory 12:00 - 01:00 Asubuhi
2. Lunch Hour 07:00 - 07:30 Mchana
3. Maombi na Maombezi 11: 30 - 01:00 Jioni
[ JUMAPILI]
1. Ibada ya Kwanza [ Kiswahili ] 01:00 - 03:00 Asubuhi
2. Ibada ya Pili [ Kingereza ] 03:00 - 04:30 Asubuhi
3. Ibada ya Tatu [ Kiswahili ] 04:30 - 06:00 Asubuhi
#saltoftheearth