Login Register
G
Lango media tv banner
Lango media tv

Lango media tv

@UCxiXSMnevdkb3a4I7oJmIug - 143 subscribers

LANGO FOUNDATION. karibu kwenye platform yetu ya maombi, hii ni foundation inayo jihusisha na ibada za neno la MUNGU. Location ya Dodoma mjini*(*area c), imeanzishwa mwaka 2024 December 13th *Ni maono ambayo yamebebwa na neno la MUNGU kutoka kwenye* *kitabu cha isaya 60:11.(Malango yangu nayo yatakuwa wazi daima). Mbeba haya maono ni mtumishi wa MUNGU, MWL daudi bushububili. Na MUNGU akachagua lango la saa (muda wa maombi) saa tisa kamili usiku wa manane kila siku. Tunakuwa live kwa YouTube ambayo ni "lango media tv " Lakini pia tunakuwa live kwa njia ya WhatsApp, (+255 689 394 968) Huduma hii inafanyika usiku wa manane saa tisa kamili kwa sababu ni lango la uchumi.