HASSAN ni channel iliotengezwa na kijana chenu ndugu yenu Hassan Muhsin kwa lengo la kuelimishana Mungu atupe ya manufaa tuzidi kufundishana kwa kila jambo la kheri.
Najali maoni yenu na mapendeleo yenu madamu niyakujenga dini na ubinadamu naomba ushirikiano wako usiwache ku SUBSCRIBE CHANNEL HII YA HASSAN 🇰🇪